Human Rights Watch

multimedia newsroom

Kenya: Unyanyasaji wa wanaharakati wa mazingira

Walikamatwa, wakahojiwa, na kuzuiliwa

Monday 17 December 2018


(Nairobi, Desemba 17, 2018) – Maafisa wa Polisi na wale wa kijeshi nchini Kenya wanawanyanyasa wanaharakati wa mazingira katika kaunti ya Lamu mkoani pwani, Shirika la kutetea haki za Kibinadamu - Human Rights Watch pamoja na Muungano wa Kitaifa wa Makundi ya kutetea haki za kibinadamu (National Coalition of Human Rights Defenders-Kenya) wamesema katika ripoti yao iliyotolewa hii leo.

Ripoti hiyo yenye kurasa 69, Wanataka Kutunyamazisha: Unyanyasaji dhidi ya wanaharakati wa mazingira katika mkoa wa pwani” (They Just Want to Silence Us: Abuses Against Environmental Activists at Kenya’s Coast Region) inaelezea muktadha wa kampeni za uanaharakati katika kupinga ujenzi wa bandari ya Lamu na mradi wa barabara ya kutoka Kenya hadi Sudan Kusini na Uhabeshi, mradi ujulilikanao kama (The Lamu Port-South Sudan- Ethiopia Transport corridor project-LAPSSET) na miradi nyingine inayohusiana nayo . Ripoti hiyo inajumulisha nyaraka zinazo-onyesha vikwazo ambavyo wanaharakati wanakumbana navyo wanapotoa matamshi yao ya wazi kuhusu hofu yao katika mradi huo.

MORE LATEST NEWS
ALL STORIES

Philippines: Lasting Harm to Children from ‘Drug War’

Wednesday 27 May 2020

Length 04:16

4 0 0 0 0 0
Venezuela: Urgent Aid Needed to Combat Covid-19

Tuesday 26 May 2020

Length 01:35

1 0 0 0 0 0
Myanmar: Imagery Shows 200 Buildings Burned

Monday 25 May 2020

0 0 0 0 4 0
Burkina Faso: Armed Islamists Attack Education

Tuesday 19 May 2020

Length 01:00

1 0 6 0 0 0
If Not Now, When?

Thursday 07 May 2020

Length 03:36

3 0 10 0 0 0
Into the Abyss

Monday 04 May 2020

Length 00:50

5 0 5 0 2 0
Greece: Refugees Working to Protect Moria Camp from Covid-19

Wednesday 22 April 2020

Length 02:16

1 0 0 0 0 0
Guinea: Dam Displacement Destroys Livelihoods

Thursday 16 April 2020

Length 02:12

2 0 0 0 0 0
Zimbabwe: Unsafe Water Raises COVID-19 Risks

Wednesday 15 April 2020

Length 03:51

3 0 0 0 0 0
Kids Talk Coronavirus

Thursday 09 April 2020

Length 02:20

1 0 0 0 0 0
COVID-19 Response Update

Tuesday 07 April 2020

Length 02:01

1 0 0 0 0 0
Latin America: Cut Prison Crowding to Fight COVID-19

Thursday 02 April 2020

Length 00:55

1 0 0 0 0 0
COVID-19 : A Human Rights Perspective

Wednesday 01 April 2020

Length 01:57

1 0 0 0 0 0
Ohio, Texas Use COVID-19 to Stop Abortions

Friday 27 March 2020

Length 00:33

1 0 0 0 0 0
Hungary’s Orban Uses Pandemic to Seize Unlimited Power

Wednesday 25 March 2020

Length 01:00

1 0 0 0 0 0
People are Mobilizing to Help During the COVID-19 crisis

Monday 23 March 2020

Length 01:48

1 0 0 0 0 0
Egypt: Security Forces Disappear, Torture Children

Monday 23 March 2020

Length 02:30

1 0 4 0 0 0