Human Rights Watch

multimedia newsroom

 • © 2016 Elin Mart�nez/Human Rights Watch
 • © 2016 Elin Mart�nez/Human Rights Watch
 • © 2016 Elin Mart�nez/Human Rights Watch
 • © 2016 Elin Mart�nez/Human Rights Watch
 • © 2016 Elin Mart�nez/Human Rights Watch
 • © 2016 Elin Mart�nez/Human Rights Watch
 • © 2016 Elin Mart�nez/Human Rights Watch
 • © 2016 Elin Mart�nez/Human Rights Watch
 • © 2016 Elin Mart�nez/Human Rights Watch
 • © 2016 Elin Mart�nez/Human Rights Watch
 • © 2016 Elin Mart�nez/Human Rights Watch
 • © 2016 Elin Mart�nez/Human Rights Watch

Tanzania: Vijana Milioni 1.5 Million Hawapo Shuleni

Sera za Serikali Zinakwamisha Mkakati wa Elimu ya Bure ya Sekondari

Tuesday 14 February 2017

(Dar es Salaam, 14, Februari 2017) – Zaidi ya asilimia 40 ya vijana wa Tanzania hawapati elimu bora ya awamu ya kwanza ya sekondari (kidato cha kwanza hadi cha nne) mbali na uamuzi chanya wa serikali kufanya elimu hii ya sekondari kuwa bure, inasema ripoti iliyotolewa na shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch.

Ripoti hiyo yenye kurasa 98, “‘Nilikuwa na Ndoto za Kumaliza Shule’: Vipingamizi katika Elimu ya Sekondari Tanzania,” inaangazia vikwazo, ikiwa ni pamoja na vikwazo vitokanavyo na sera za serikali zilizopitwa na wakati, ambazo zinazuia zaidi ya vijana milioni 1.5 kupata elimu ya sekondari na kusababisha wengine wengi kuacha shule kwasababu ya hali duni ya elimu. Matatizo hayo ni pamoja na kutokuwepo kwa shule za sekondari vijijini, mtihani unaoweka ugumu wa kujiunga na shule ya sekondari, na sera za kinidhamu za serikali zinazowafukuzisha shule wasichana waliopata ujauzito au kuolewa

PHOTOS (12)

GRAPHICS (5)

MORE LATEST NEWS
ALL STORIES

Pakistan: Girls Deprived of Education

Tuesday 13 November 2018

Length 06:52

2 0 6 0 0 0
Tunisia: Privacy Threatened by ‘Homosexuality’ Arrests

Thursday 08 November 2018

Length 01:21

1 0 8 0 0 0
Midterm Elections 2018

Wednesday 31 October 2018

Length 00:37

6 0 0 0 0 0
North Korea: Sexual Violence Against Women by Officials

Wednesday 31 October 2018

Length 04:38

3 0 12 0 0 0
Turkey: Workers Behind Bars as Airport Opens

Monday 29 October 2018

Length 01:52

1 0 0 0 0 0
Malawi: Arrests, Violence against LGBT People

Friday 26 October 2018

Length 03:09

3 0 1 0 0 0
Russia: Unaddressed Domestic Violence Puts Women at Risk

Thursday 25 October 2018

Length 3:54

2 0 0 0 0 0
South Sudan: Soldiers Attack Civilians in Western Region

Tuesday 23 October 2018

Length 01:54

2 0 1 0 0 0
Palestine: Authorities Crush Dissent

Tuesday 23 October 2018

Length 05:00

2 0 0 0 0 0
Ethiopia: Ensure Justice for Abuses in Jail Ogaden

Friday 19 October 2018

Length 01:33

1 0 0 0 0 0
Senegal: Teen Girls Sexually Exploited, Harassed in Schools

Thursday 18 October 2018

Length 00:51

1 0 2 0 0 0
Lebanon: No Action to Enforce New Waste Law

Thursday 18 October 2018

Length 00:59

1 0 0 0 0 0
Syria: Residents Blocked From Returning

Monday 15 October 2018

Length 1:09

1 0 0 0 3 0
Uganda: No Justice for 2016 Kasese Massacre by Security Forces

Wednesday 10 October 2018

Length 02:20

2 0 2 0 0 0
Ghana: Oversight Needed to Enforce Shackling Ban

Tuesday 09 October 2018

Length 01:36

2 0 4 0 0 0
Eritrea: Diplomacy Changes, but Political Prisoners Remain

Thursday 04 October 2018

Length 02:43

2 0 0 0 0 0
Lebanon: Discriminatory Nationality Law

Tuesday 02 October 2018

Length 03:14

1 0 0 0 0 0